ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
Me namshukuru Mungu kwa wale wote walionitia nguvu na kunipa moyo kwa magumu ninayopata,Mungu awabariki sana,leo nimeamka vizuri tu,ushauri wenu umenifanya niwe na amani,kwa aliye mpweke tunaweza badirishana mawazo,karibuni sana!