Zaburi ya leo tupo hapa pub

mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,521
870
katika pitapita zangu nimekutana na hii zaburi.Nilipouliza nikaambiwa ni maarufu sana pale LEO TUPO HAPA PUB....hasa siku za mwisho wa juma....

Pombe ndiye mchungaji wangu sitapunguwa na pesa mfukoni, nitakapopita katika vichochoro na mabonde ya vibaka,sitaogopa maana yeye yu pamoja nami, kwenye mitaro ya maji machafu hunilaza, kando ya barabara huniongoza nisigongwe na magari, nami nitakaa karibu bar na milele!

CC... Mtambuzi Baba V Bujibuji cacico Smile Kipaji Halisi [MENTION]sweetylady[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
unashangaa sio? YNNAH anasema tuende cascalavila nasisi tukapate........!

ha ha ha unakumbuka siku ile nlivyokuita shem afu leo tuna kitchen party tukimaliza tutawaita na nyie me muje
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom