Bamba was baptized. The pastor dipped his head into water 3 times and said you are baptized. Your old sins are forgiven, you are a new creation, your new name is Jacob. No more drinking of...
Vodacom wamerahisisha tena: Sasa unaweza kupima uzito wako kwa kutumia simu yako ya mkononi,cha kufanya bonyeza *15400# kisha simama juu ya simu yako utaona uzito wako kwa kiwango cha kilogramu.
Wakuu,
Kwa walioenda church leo naomba mnijuze kuhusu injili,maana feni za parokia ya mbezi beach zinavyopuliza nilijikuta nimesikia tu kwa mbali story ya mwanamke aliyeolewa na wanaume saba...
UKiwa umechagua forum apo mbele kwenye web page,,,kuna tangazo la ndovu special malt la jishindie safari ya selous,,,daaahh kila nikimuona uyo myama tembo,,naikumbuka serikali,,napatwa jazba
..ivi...
Tangazo kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi
Wale wote waliosoma miaka ya nyuma na kupata Division 0 wanatakiwa wakachukue vyeti vyao vyenye Division 5. Wizara inaomba radhi Kwa usumbufu...
Eti, hivi alietengeneza taa ya chemli na akaunda ile mashine yake ya kupandishia na kushushia utambi kwa muonekano ule aliwaza nini??? Nimejiuliza nimeshndwa nisaidieni jamani!!
Habari zenyu binafsi....
Mwenzenu mie siku hizi sipati usingizi, hapa yaelekea saa nzima nahesabu matundu ya chandarua, hivi ni kwanini???? Kwanini sipati usingizi kama awali???? Huyo...
Salaam,
Kipindi hiki bwana katika mitandao ya kijamii na picha (Instagram) umezuka mtindo wa kina dada kupiga picha kwa mtindo wa 360( unakuta mdada kaweka pozi kadhaa mara kapiga kalio, mara...
Habarini zenu wadau
Hivi huyu jamaa Mazabzab (sujui kama nimepatia jina lake) A.K.A mgegedaji maarufu yuko wapi siku hizi
Simuonagi humu
Au ana I'd mpya?
Aisee kama upo know. That...
Two neighbours are talking to each other.
First neighbour: Do you know that my dog is so smart, he waits for the newspaper to drop at the doorstep and then delivers it to me?
Second...
Mwalimu mmoja wa darasa la tatu alitoa maelekezo darasani:
MWALIMU: Haya watoto wazuri, kila mmoja wenu achukue kalamu na karatasi kisha achore picha ya gari linalotembea, sawa?
WANAFUNZI: Sawa...
Mpigie kura ARABELA aweze kuibuka mshindi kwenye kinyan'ganyiro cha miss CHIT CHAT asanteni kwa kunielewa piga kura uwezavyo
Ahsanteni kwa kunisikiliza naombeni ushirikiano wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.