"Lord, I have a problem."
"What is it, Eve?"
"I know that you created me and provided this beautiful garden and all of these wonderful animals, especially that hilarious snake, but I'm...
Watoto wa siku hizi tofauti na sisi tulivyokua zamani..!
Msikie huyu,
"Mtoto alikuwa anapata shida kuomba dua kila mda wa kulala, sababu dua ilikuwa ndefu sana.
Akaona aandike dua yote...
Kwa mara ya kwanza nilivokuwaga natumia jf kama mgeni bas nilikuwa sielew baadh ya maneno wanayotumia wadau ila yalikuwa yananifurahisha sana mfano pochi manyoya,abdala kichwa wazi na mengineyo...
Wanawake wanapenda kuwa wasafi sana wataoga mara tatu au zaidi kwa siku, watadeki kila kona ya nyumba yao nk.nk Lakini kumbe katika mawazo yao ya usafi, wanadhani kwamba wasipofanya usafi huo...
Habari wanajamvi kwanza poleni hang over za kuanzia jana na bado makamuzi yanaendelea.mimi tangu nimerudi kijiji hiki cha jfplus nimekua mpweke sana kila ninapojaribu kuangalia kimwana chakuopoa...
Wasalaam,
Mimi binafsi wiki hii nimewashawishi rafiki zangu and co workers watano, uhondo ninaopata napenda na wengine wapate, je wewe umeshawingiza wangapi JF? lets invite friends and relatives.
Ivi kwanini siku hizi wanawake ni so heartless...kweli kijana anajikaka mua anabeba zenge mjini anapata elfu 5 kwa siku walaah bi shosti huoni huruma unaichukua yote unamuacha tena juu ya mtaa[au...
Mwalimu: taja madini yanayopatikana Tanzania. Mwanafunzi: maisilamu, masabato, malokole na maromani.
Mwl; safi sana mpongezeni
HIYO NDIO BIG RESULTS NOW!
na huyu lazima apate division 5
A black Jewish boy runs home from school one day and asks his father, Daddy, am I more Jewish or more black? The dad replies, Why do you want to know, son? Because a kid at school is selling...
Niaje mapipooooo...........
"Ukiuza toa risiti, ukinunua dai risiti"
Hebu tuwe wakweli, hivi nani alishawahi kutoa akiuza risiti au kudai risiti akinunua?????
Asubuhi njema kwenu nyote!!!!!!!!
Mapema leo asubuhi , via Clouds Radio kipindi Power breakfast , Gerald alifanya mahojiano na Mike Mushi , mmoja wa wamiliki wa Jamii Forums .
Mada ikiwa Mike kuelezea fursa zipatikazo ktk...
Unaingia bar unaagiza bia yako bariiidi vizuri unakata kuu kwa raha zako, unaagiza ya pili kwa utulivu sasa halafu ya tatu, kwa mahesabu ya haraka ni kama 7500/=, kabla zile mbili za kwanza...
A very happy birthday to my love, my friend and the sweetest cc ozzbend ever, babe sosoliso!
Mwenyezi Mungu akujaalie maisha yenye furaha na amani, upendo na baraka tele!
babe sosoliso! keki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.