stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,484
Kwa mara ya kwanza nilivokuwaga natumia jf kama mgeni bas nilikuwa sielew baadh ya maneno wanayotumia wadau ila yalikuwa yananifurahisha sana mfano pochi manyoya,abdala kichwa wazi na mengineyo mengi
Lugha hz znavutia na kusherehesha mno ndo maana huwa sichok kuwepo hum
wasaalam!!!:dance:
Lugha hz znavutia na kusherehesha mno ndo maana huwa sichok kuwepo hum
wasaalam!!!:dance: