Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Unaingia bar unaagiza bia yako bariiidi vizuri unakata kuu kwa raha zako, unaagiza ya pili kwa utulivu sasa halafu ya tatu, kwa mahesabu ya haraka ni kama 7500/=, kabla zile mbili za kwanza hazijatulia wala kujipanga vizuri tumboni, mkojo unauma, unaenda kujisaidia, almost bia zote mbili za kwanza unazitoa
Inatia hasira sana lakini unavumilia, unarudi kitini unaendelea na ya 3,4 na tano unajistukia 15000/= ishakatika hapo ni bila kongolo au mchemsho , na unajikuta ushaenda toilet kaa mara tatu hv...!!upuuzi mtupu mkwanja wangu umekwenda bure..Bidhaa yao nimewaachia
Je ningenunua kilio ya firigisi na katoni ya azam cola c ningevinjari na wanangu na kova wangu...!??