Washawishi wajiunge JF

Washawishi wajiunge JF

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
936
Wasalaam,
Mimi binafsi wiki hii nimewashawishi rafiki zangu and co workers watano, uhondo ninaopata napenda na wengine wapate, je wewe umeshawingiza wangapi JF? lets invite friends and relatives.
 
Mie nimewaingiza kibwena mbona! Na nnaendelea kuwaingiza !
Na wewe uliingizwa na nani?
 
Mie nimewaingiza kibwena mbona! Na nnaendelea kuwaingiza !
Na wewe uliingizwa na nani?

hahah mkuu, mie nilikuwa nasikia mtaani JF, JF nikai google nikawa msomaji kwa muda ndo nikavutiwa kuwa nachangi, nimechangia hadi nishakula BAN TATU
 
Sawaaaa ndugu Mchemsho ila swali ni je wewe umeingizwa na nani?
Mi watu wengi walijaribu kuniingiza ila mmoja alifanikiwa na mpakaa sasa nipo nafurahia JF
 
Back
Top Bottom