Ukiuzaaaaaa................... ....

Ukiuzaaaaaa................... ....

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Niaje mapipooooo...........

"Ukiuza toa risiti, ukinunua dai risiti"

Hebu tuwe wakweli, hivi nani alishawahi kutoa akiuza risiti au kudai risiti akinunua?????

Asubuhi njema kwenu nyote!!!!!!!!
 
Hivi ile huduma inayopatikana pale Makoroboi na Deluxe & outskirts ya "wadadapoa" kuna muamala wa ku'issue risiti ?
 
mimi najua hiyo hiyo fed fiscal electronics device hii ni kama vile unibashkie

Ni Electronic Fiscal Device na sio Fiscal Electronic Device..... Hii ni kwa mujibu wa TRA.....
 
inategeme unauza ama unanua nini? biashara kudai risit mmhh haiwezekani!!

Iwe unauza ama unanunua, umeona eeeh. Kwanza utapata wapi ujasiri wa kutoa na kudai risiti????
 
inategeme unauza ama unanua nini? biashara kudai risit mmhh haiwezekani!!

Hivi Shangazi umeenda Ferry ku'buy sio vijifish vya elfu 30-40 !
Lets say una Hoteli yako ya kiwango cha kati , so demand yako ni ku'buy mifish ya Tsh laki 2-3 utadai risiti ?
Na hata ukidai , mazingira ya Ferry yana issue risiti?
Wakati ukienda Kariakoo ukanunua viatu pair 2 vikagharimu Tsh elfu 50 tu , mazingira ya risiti ndo yanalazimu!
Tafakari !
 
aisee wakipatikana wanaotoa risiti naamini na huduma itakuwa imeboreshwa ipasavyo....
 
Huwa nadai risiti ili nikirudi ofisini wanirudishie changu...huduma yoyote ninayo nunua.
 
Niaje mapipooooo...........

"Ukiuza toa risiti, ukinunua dai risiti"

Hebu tuwe wakweli, hivi nani alishawahi kutoa akiuza risiti au kudai risiti akinunua?????

Asubuhi njema kwenu nyote!!!!!!!!

hahahaa kwa hiyo TRA iongeze kas ya kusambaza hzo mashine,..kwa watoa huduma wote/wauzaji wote pia wanunuzi msisahau kudai risiti..!!!
 
INATAGEMEA NA MAHALI NINAPO NUNUA kama pale maunt meru hotel,naura spring pale zile huduma za shorttime unakatwa na vati kabisa so risiti unapewa

achana na mahali,vipi yule anayetoa huduma anakupatiaga risitii?
 
Back
Top Bottom