Hata mimi nilidhani kama alivyosema Gerald Hando .

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Mapema leo asubuhi , via Clouds Radio kipindi Power breakfast , Gerald alifanya mahojiano na Mike Mushi , mmoja wa wamiliki wa Jamii Forums .

Mada ikiwa Mike kuelezea fursa zipatikazo ktk mitandao ya kijamii (ikiwepo) na Jf .

Gerald alianza kwa kusema ukisikia jina la Mike Mushi na Furoum anayomiliki utadhani ni jitu moja jinene sana! Binafsi yangu mimi nilikua na dhana ziada , pia nilidhani Limeenda hewani , likitembea limetanua mikono!
Nikifikiri liko mithili ya Capt Komba au Mgana Msindai .

Hando akaendelea kutujuza , kwamba Mike ni mtu mwenye umbile dogodogo tu .
Hata nami nilipomsikia sauti yake , sauti inashabihisha hilo , na si mtu wa kuongea kwa matao (majisifu) ya vyeti .

Yote kwa yote nimebaki na bumbu la wazi (bumbuwazi )
Pale Gerald alipomuuliza Mike wakati amepata wazo la kuanzisha Forum alikua akifanya shughuli gani ?
Mike akajibu alikua mwanafunzi wa form two !
Ndipo alipoanzisha Jambo forums and later Jamii forums!
Usicheze na kichwa ya Mangi .
 
Unaweza kuwa na hisia kuhusu mtu flan kumbe ni tofauti kabisa!
 
Back
Top Bottom