Watoto wa dot.com

Watoto wa dot.com

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Watoto wa siku hizi tofauti na sisi tulivyokua zamani..!
Msikie huyu,
"Mtoto alikuwa anapata shida kuomba dua kila mda wa kulala, sababu dua ilikuwa ndefu sana.
Akaona aandike dua yote akaibandika ukutani, ikawa ikifika muda wa kulala anasema;
"Ee MUNGU SOMA PALE."
Amina.
 
Heheheh akianani kizazi hiki imebaki miguu tuuu maana akili zote hakuna.
 
Back
Top Bottom