Upweke upweke umenichosha

Upweke upweke umenichosha

mshana org

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
2,091
Reaction score
620
Habari wanajamvi kwanza poleni hang over za kuanzia jana na bado makamuzi yanaendelea.mimi tangu nimerudi kijiji hiki cha jfplus nimekua mpweke sana kila ninapojaribu kuangalia kimwana chakuopoa nakuta tayari nimali za watu.nimeona bora nijilipue natafuta kimwana aliyeko single ajitokeze kwa mume bora yuko hapa.ilatu asiwe mke wamutu sitaki kupigwa mapanga.mtalaka ruhsa karibuni au kama kuna mtu anajua kipo kigori sehemu hakijapata pete ya uchumba niagizie nikajitutumue
 
Nna zimbo toshelevu kukupigia mipande ya kiBarcelona !
Tatizo hua spendi baadae lawama!
"ooh mtoto mwenyewe hajafundwa!" n.k
Utan'ruhusu kwanza niparike test , nikijiridhisha Mkole/Unyago umetendewa haki ndo nakupea !
Sema neno ! Nichacharike ?
 
mkuu sasa hapo siutanisaidia kuonja?itakua noma huwa sinaga lawama wewe piga pande
 
Ndo manaake!
Na kuonja kwenyewe si nakuonjea wewe Swahiba !
Zingatia bidhaa yenyewe si sabuni kusema itainkriz voluyum !
Najionjea , najiridhisha mziki unasomeka , nakubwagia .
 
Angalia ndugu huko vijijini hawarembi... vidume vya huko nouma sana chunga kifanyio chako kisijerudi andunje..!
 
Kweli maisha tofauti wenzio wanafurahia Kuwa singo wewe hutaki....
 
P
Habari wanajamvi kwanza poleni hang over za kuanzia jana na bado makamuzi yanaendelea.mimi tangu nimerudi kijiji hiki cha jfplus nimekua mpweke sana kila ninapojaribu kuangalia kimwana chakuopoa nakuta tayari nimali za watu.nimeona bora nijilipue natafuta kimwana aliyeko single ajitokeze kwa mume bora yuko hapa.ilatu asiwe mke wamutu sitaki kupigwa mapanga.mtalaka ruhsa karibuni au kama kuna mtu anajua kipo kigori sehemu hakijapata pete ya uchumba niagizie nikajitutumue
Pole sana ngoja niongee na Paloma Lady doctor tuone watasaidiaje hata
 
Last edited by a moderator:

Baba V anaruhusu hili?
au na wewe tayari ni mkaguzi?
Ndo manaake!
Na kuonja kwenyewe si nakuonjea wewe Swahiba !
Zingatia bidhaa yenyewe si sabuni kusema itainkriz voluyum !
Najionjea , najiridhisha mziki unasomeka , nakubwagia .
 
Last edited by a moderator:
Habari wanajamvi kwanza poleni hang over za kuanzia jana na bado makamuzi yanaendelea.mimi tangu nimerudi kijiji hiki cha jfplus nimekua mpweke sana kila ninapojaribu kuangalia kimwana chakuopoa nakuta tayari nimali za watu.nimeona bora nijilipue natafuta kimwana aliyeko single ajitokeze kwa mume bora yuko hapa.ilatu asiwe mke wamutu sitaki kupigwa mapanga.mtalaka ruhsa karibuni au kama kuna mtu anajua kipo kigori sehemu hakijapata pete ya uchumba niagizie nikajitutumue

Duh!
Pole..
 
Back
Top Bottom