Jana usiku nilikua malindi club Hapa Moshi moyo uliniuma sana mabinti wadogo wazur balaa wanauza papuchi. hivi ni maisha magumu au ni starehe yao ? Nikachagua mmoja maridad kabisa short time elf10...
Mimi huwa najiuliza sipati jibu, mtu akipigiwa simu iwe ni wapenzi au jinsia tofauti huwa anabadili sauti kuliko ile asilia.
Tatizo nini ushamba au makeke?
Wapendwa wangu wanaJF,
Ninayo furaha kubwa kuwaarifu ya kuwa leo ni siku ninayoadhimisha miaka kadhaa tangu nizaliwe!
Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kunipendelea kwa kunipa nafasi ya kuja...
Mama mmoja alizaa na mchina baada ya miezi miwili mtoto akafariki muda wa mazishi mama akawa anacheka.., watu wakastaajabu wakamuuliza we vp mbona unacheka? mama akajibu "ona sasa, nilijua tu vitu...
Nimeona SI vibaya kuongeza ujuzi wangu katika maisha kwa kupanda ungo au fisi wa kichawi, kama humu jf Kuna member anayemiliki vyombo tajwa vya usafiri, au Una ndugu ama rafiki, ningeshukuru Sana...
Mwizi/Wezi hawa watu ni wabaya sana kwenye kurudisha maendeleo kwa jamii, siwapendi kabisa na naamini kuwa hamna mtu anayewapenda.
Lakini mimi siku ya leo naomba niangalie upande wa pili wa...
Singo nayoimaanisha hapa ni ile yani mtu hauko kwenye ndoa official...hata wale single but occupied mnahusikaaa...
Yani na kipupwe hiki, mtu uko peke yako kitandani, halafu usingizi...
Nimelisusa jukwaa hili kwa muda mrefu, nahisi limeshakuwa na maalwatan wengine ambao hawatufahamu sisi maalwatan wa kitambo a.k.a Mabingwa wa Zamani.
Sio mbaya, kwani hata Misri alikujaga...
NAOMBA rafiki wa aina zote wenye umri wa miaka 23 kuja chini na awe muwazi kwangu kwa kila jambo kwa mawasiliano zaidi unaweza kunitafuta
twitter meralyussuf
facebook meral yussuf...
Pole DAD.
POLE MUMY
WAKIMBIE
WACHEKE HUKU WAKIONDOKA
WACHUKUE VITU VYA KARIBU NA KUANZA KUJIPEPEA HUKU WAKIKAA NA KUVUMILIA
ANY
IDEA JAMANI WENGINE WASIJE BEBA LAANA KWA KUTOJUA CHAKUFANYA
kuna ubishi hapa kitahani kwetu et simba dume upiga shoo kwa siku saba mfululizo bila kuwinda wala nini na ukipita karibu yake uwa hana makeke anakuangalia tu ni kweli au
Hi wanaChitchat!
Kwa furaha naomba kuitambua couple hii ya Tonykp na 'Valentina' na kuipa baraka zangu zote.
Kuanzia leo naitambua ndoa hii na nawaomba wale macho juu juu waheshimu hili...
Hii swaga sijawahi kuipenda hata kidogo hata nikisikia wengine wakiitana BABY. Binafsi wa kwangu anajua hivyo kwa hiyo halitumii kabisa hilo jina. Nilishawahi kumpiga mkwara mchepuko wangu nusura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.