Jana nikawa naipitia Bible, nikakutana na kipengele kinachozungumzia siku ya mwisho, kwamba siku hiyo kila kitu kitafunuliwa, mambo yote tunayofanya kwa siri siku hiyo yatakuwa wazi.
Mawazo...
Habari ndiyo hiyo,
Threads zingine zikianzishwa humu ni kama vistori vya utani vileee....!! Unaweza hata usicomment kwa kuona ni utunzi wa mtu tuu.
Kuna mdau (simkumbuki ni nani) alianzisha uzi...
Wakuu!
HappyBirthday to me!
Leo nimefikisha miaka kadhaa ya kuwepo hapa duniani!
Namshukuru sana Mwenyenzi Mungu kwa kunifikisha hapa na pia ninayo furaha kubwa kuwashirikisha na ninyi wanaJF...
Brazil haitakaa isahau kwamba ilicheza nusu fainali ya kombe la dunia mwezi wa SABA!
Kwa kuwa historia ina tabia ya kurudia, Brazil ijihadhari sana pale itakapotokea FIFA kuikutanisha Brazil na...
LOOOOOOOO AKU BABU WEWE NGOJA LEO NISEME NENO HAAAA?
WASICHANA HUMU NDANI KUJIFANYA MNAPRETEND MAISHA YA KIZUNGU KAMA KUNYA HAMYI MARA OOOOOO cjui kikaenda kikarudi pambafu zaenu.
Mara ooo...
kwa wale wanaume/wanawake mliyozoea kuwapiga fiksi wapenzi zenu kuwa mnangalia mpira kombe la dunia linakwisha, mambo ya kurudi night kali sijui mtakuja na style gani ingine .....kupigana...
Habari wa Jf. Baadhi ya mikoa au wilaya hapa Tz kumekuwepo na kero kubwa ya vigari vya matangazo vyenye speaker kubwa na sauti za juu zinazokatiza mitaan na barabarani. Utakuta wanakatiza saa...
Habarini marafiki zangu
Nauliza tu jamani !!
samahani sana kwa wale nitakaowaudhi kwa hili ila
kuna mtu hapa ofisini kanitibua tu, kumwambia afanye kazi
asiwe anazungukazunguka kama pia yeye...
1. Bepari la kihaya, uncle Bishanga aliwa range rover yake kwenye kubeti, alibeti brazil wanashinda 3:0
2. Yafahamika Erickb52 ni mtoto wa Scolari, aelezea yaliyomkuta alipoenda kuomba ada ya...
Tahadhari !!! Tahadhari !!!
Ndugu mpenda soka
tunakuomba radhi maana
mechi uliyoona jana sio
halisi.kuna kikundi cha
wachina wameingilia mfumo
wa computa wa fifa na
wameonesha mechi ya play...
Leo katika pitapita zangu jukwaa la picha nikaona picha alizopost utafiti.
Nimemkumbuka huyu jamaa aisee.
Wanaojua alipo tunaomba tujue, ukimya umezidi.
Usiku mwema
Salamu sana wana CC wote,
Leo nimeamua nimtokelezee Paw;
Paw Kwa cheo chako naamini kabisa mara zote unachungulia humu JF.
Paw hivi unajisikiaji unapokutana na wana jf maarufu kama Arushaone...
Wana JF wenzangu, nimekuta mjadala mkubwa juu ya uzuri wa kinywaji cha WINE ukilinganisha na beer zingine zinaziopatikana bongo hususani za ndani, hapa sikusudii kufanya matangazo ya biashara kwa...
A woman came in and say to her husband she needs to use the car. He tells her if she wants to use the car, she has to suck his dick. When she's done she tells him his dick tests like a shit. He...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.