Napima upepo

Napima upepo

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Nimelisusa jukwaa hili kwa muda mrefu, nahisi limeshakuwa na maalwatan wengine ambao hawatufahamu sisi maalwatan wa kitambo a.k.a Mabingwa wa Zamani.

Sio mbaya, kwani hata Misri alikujaga Farao mwingine ambae alikuwa hajui stori za Yusufu na akawalimisha sana hawa ambao tunawashobokea na kuwaita "Taifa la Mungu".

Sasa nauliza, bado nina kura ya turufu humu Chit-Chat?
 
unapima upepo kwa kutumia kifaa gani na je ushaanza kupata majibu? Upimaji mwema.
 
mi yangu unayo
Nashukuru kwa kuniunga mkono, kuna mtu wa kuitwa Baba V, nae angekuwepoa hapa ningekuwa na wtu wawili wa kuniunga mkono.
unapima upepo kwa kutumia kifaa gani na je ushaanza kupata majibu? Upimaji mwema.
Nimetumia lugha ya kisanaa, inamaanisha kuangalia maka jambo lina madhara/ushawishi kiasi gani. Umenielewa bibie eeh?
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa kuniunga mkono, kuna mtu wa kuitwa Baba V, nae angekuwepoa hapa ningekuwa na wtu wawili wa kuniunga mkono.

Nimetumia lugha ya kisanaa, inamaanisha kuangalia maka jambo lina madhara/ushawishi kiasi gani. Umenielewa bibie eeh?

nimekuelewa haswaaaa..
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nahisi kuna wengi hawajui hata wadhifa wangu mhapa dani. Narudi kwa kasi ya umeme kurejesha hadhi ya Jukwaa.
 
vipimo vinaonyesha upepo unavuma toka kusi kwenda magharibi kwa kasi ya 1000000kph
 
Hata mimi nahisi kuna wengi hawajui hata wadhifa wangu mhapa dani. Narudi kwa kasi ya umeme kurejesha hadhi ya Jukwaa.

We ngoja, tutakuja na mpango kabambe wa kurudisha heshima yetu. JF nzima itatambua sisi ni nani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom