aisee.....ila kitufe cha reputation ndo watu hawatakagi kukigusa kabisaaa!!
nakigusa kwa ajili yako right now...
aisee.....ila kitufe cha reputation ndo watu hawatakagi kukigusa kabisaaa!!
Hivi wewe una nini na hicho kitufe? Mbona wakipenda sana
kibonyeze uone raha zake! kama hela vile zinavyotoka kwenye ATm!
mzima lakini bibie?
dah! nimekumiss sana kan'T!
nipe nafasi nikutie moyo!
huhuhuuuu!
Aisee Excel kuuliza c ujinga nakipataje hicho kiminywa cha reputation?
Aaaghkaa.tuachane na ya kutiana moyon basiiiiiiii.upo??
Barikiwa za kwanza zitaenda kwako hope umeenda kuabudumkuu, hapo pembeni ya send pm, kuna kakitufe keusi hivi kama nyota, kana dizain flani ya uviringo,
ukikabonyeza, katainuka na info hizi:
Add reputation: excel
halafu kuna option mbili zitaonekana, approve and disapprove, chagua approve automatically, halafu ongeza comment on your post, then bonyeza kitufe cha Add reputation, utakuwa umemaliza..
Try it, its very simple! dont fear those many explanations from excel!
besti nipo bwana, nimekumiss tu, enhee, niambie, habari za siku nyingi?
Hope i've done it! Hebu chungulia notification bar
nimeona mkuu. thanks indeed, kuna kipindi nilikuongezea, uliona?