Natangaza ndoa kati ya Tonykp na 'Valentina'

Natangaza ndoa kati ya Tonykp na 'Valentina'

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,559
Reaction score
11,496
Hi wanaChitchat!
Kwa furaha naomba kuitambua couple hii ya Tonykp na 'Valentina' na kuipa baraka zangu zote.
Kuanzia leo naitambua ndoa hii na nawaomba wale macho juu juu waheshimu hili.

Pia naomba ndugu Tonykp sasa uache kumtongoza mke wangu kipenzi Chocs .

Ujumbe wa Rais wa Chitchat: Baba V sherehe ya kukuaga ni wiki ijayo!

Cc: Arushaone Tonykp 'Valentina'

I remain
Erickb52
Mwenyekiti
 
Last edited by a moderator:
Hongera zao! nadhani wana mengi yakujifunza..kutoka kwangu mimi na mke wangu
 
Nashukuru sana mwenyekiti kwa kunipa Jiko..wenye wivu wajinyonge
 
Hongera mume mpya!
Ukihitaji maelekezo mimba inavyopatikana usisite kutuuliza!
Na zile Srade zenye mabandiko mf. "Baa zenye Mademu bomba!" zipe kadi za njano mbili .
Karibu kwenye mautamu .
 
Hongera mume mpya!
Ukihitaji maelekezo mimba inavyopatikana usisite kutuuliza!
Na zile Srade zenye mabandiko mf. "Baa zenye Mademu bomba!" zipe kadi za njano mbili .
Karibu kwenye mautamu .

Well said kamanda
 
Hongera mume mpya!
Ukihitaji maelekezo mimba inavyopatikana usisite kutuuliza!
Na zile Srade zenye mabandiko mf. "Baa zenye Mademu bomba!" zipe kadi za njano mbili .
Karibu kwenye mautamu .
Hahahahaaaaa
Kweli aisee haifai tena.
Pia kumtongoza wife kwa namna yoyote haifai tena...baki na mkeo Tonykp
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom