Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Mwizi/Wezi hawa watu ni wabaya sana kwenye kurudisha maendeleo kwa jamii, siwapendi kabisa na naamini kuwa hamna mtu anayewapenda.
Lakini mimi siku ya leo naomba niangalie upande wa pili wa hawa wezi, yaani, faida zao ambazo ni zifuatazo:
1. Wanazalisha ajira, watu wengi sana wameajiriwa kwenye kampuni za ulinzi sababu ya wezi pamoja na wamasai wanaolinda nyumba na kampuni za watu. Endapo leo hii ghafla ikatokea kuwa hamna wezi basi vijana wengi sana watakosa nafasi zao za kazi.
2. Kuongeza fursa za kibiashara, biashara ya vitu kama kufuri, mageti makubwa na safe box zinakuwa siku mpaka siku kwaajili ya wezi. Kuna watu wanaishi na kulisha familia zao kwaajili ya kutengeneza mageti ambayo yanatengenezwa ili kupunguza uwezekano wa kuibiwa.
Hivyo wezi wanafaida kwa jamii kwa kiasi chake.
MCHUNGUZI HURU

Last edited by a moderator: