Jaman eti ni kweli

Jaman eti ni kweli

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
kuna ubishi hapa kitahani kwetu et simba dume upiga shoo kwa siku saba mfululizo bila kuwinda wala nini na ukipita karibu yake uwa hana makeke anakuangalia tu ni kweli au
 
Rekebisha Lugha hujaeleweka unachokiongea!!
 
kuna ubishi hapa kitahani
kwetu et simba dume upiga shoo kwa siku saba mfululizo bila kuwinda
wala nini na ukipita karibu yake uwa hana makeke anakuangalia tu ni
kweli au

Ni kweli,inakuwa kama honey moon
 
Lakini pia anajipumzisha dkk 30 had I risaa rimoja kabla ya kuanza round nyingine!
 
kuna ubishi hapa kitahani kwetu et simba dume upiga shoo kwa siku saba mfululizo bila kuwinda wala nini na ukipita karibu yake uwa hana makeke anakuangalia tu ni kweli au
ni kweli yani wenyewe ndo wameumbwa hivyo.
 
Back
Top Bottom