Upi mwaka uliozaliwa?

Upi mwaka uliozaliwa?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
1980- mpole mno
1981-una mipango mingi ila utekelezaji zero.
1982-Muongeaji sana,
1983-Unahekima/Mtafutaji
1984-upo rafu ktk mambo yako,
1985- mcheshi,
1986-Mbunifu
1987- una bahati,
1988-Handsome/ mrembo
1989-una mvuto
1990-una hasira
1991-unapendwa xana.
1992- unafuraha mda mwingi,
1993-una wapenzi wengi
1994-mbishi
1995- mvivu
1996- mgomvi,
1997-msafi,
1998-Unatamaa ya vi2 visivyo vyako.
Ukweli unauma!!
 
Ha ha ha ha aisee mwaka wangu hadi nimefurahi!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Haviendani, nimejaribu kuoanisha tabia za waliozaliwa miaka hiyo Ni tofauti
 
mbona miaka ambayo wengine tuko shule tayari ....?
 
mwaka wangu hapo siuoni mbona! Acha upendeleo mtoa mada
 
Haaaaa!!!! Siamn nna...........ila kam kweli hv.teh te
 
Back
Top Bottom