Nina hamu ya kupanda Ungo

Nina hamu ya kupanda Ungo

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Nimeona SI vibaya kuongeza ujuzi wangu katika maisha kwa kupanda ungo au fisi wa kichawi, kama humu jf Kuna member anayemiliki vyombo tajwa vya usafiri, au Una ndugu ama rafiki, ningeshukuru Sana, nataka kuexperience kuruka hewani na ungo, au kupanda fisi
 
Wewe maliza hiki kipindi kigumu kwa waislamu halafu nitafute pm
 
Nimeona SI vibaya kuongeza ujuzi wangu katika maisha kwa kupanda ungo au fisi wa kichawi, kama humu jf Kuna member anayemiliki vyombo tajwa vya usafiri, au Una ndugu ama rafiki, ningeshukuru Sana, nataka kuexperience kuruka hewani na ungo, au kupanda fisi

amazing jf.....
 
Theee teeee teeeee naona ndoto za kupanda ndege maishani mwako zimefutika kabisa umeamua upae hewani bure heeeeee
 
Nimeona SI vibaya kuongeza ujuzi wangu katika maisha kwa kupanda ungo au fisi wa kichawi, kama humu jf Kuna member anayemiliki vyombo tajwa vya usafiri, au Una ndugu ama rafiki, ningeshukuru Sana, nataka kuexperience kuruka hewani na ungo, au kupanda fisi

Sina hivyo vifaa ila nina huo ujuzi kama uko siriasi kweli tutafute mimi na Bujibuji
Nb: Lazima ukubali masharti na vigezo
 
...khaaa kuna jamaa wanamuuliza jinsia huyu mchawi trainee,daah inahuzunisha ndo kashaliwa ivo..,!
 
Mmmh Katavi hii kitu bado ipo tena?
 
Last edited by a moderator:
Ungo ni kausafiri kazuri tatizo hakana seat belt ukijisahau kidogo akaichia mikono kanafyatuka utatapaje tapaje huko angani!!?
 
Nimeona SI vibaya kuongeza ujuzi wangu katika maisha kwa kupanda ungo au fisi wa kichawi, kama humu jf Kuna member anayemiliki vyombo tajwa vya usafiri, au Una ndugu ama rafiki, ningeshukuru Sana, nataka kuexperience kuruka hewani na ungo, au kupanda fisi
Soo simple! But
Sharti lao utakubali/utaliweza?
 
ungo ni moja ya next gen advanced technologies, unatumia principle ya warp drive kutengeneza a hole between the universe bending space-time hivo huweza kukusafirisha kwa speed less than speed of light ila anaonekana kama umezidi speed of light sababu tu unapunguza the distance between the origin and the destination...
 
nimeona si vibaya kuongeza ujuzi wangu katika maisha kwa kupanda ungo. Nataka kuexperience kuruka hewani na ungo, au kupanda fisi
full reloaded...
 

Attachments

  • 1404663343863.jpg
    1404663343863.jpg
    21.4 KB · Views: 268
  • 1404663358404.jpg
    1404663358404.jpg
    81.6 KB · Views: 241
  • 1404663373253.jpg
    1404663373253.jpg
    20.8 KB · Views: 231
Kweli akili ni nywele kila mwana jf anazake
 
Niko Tabora kijiji kinaitwa Itonjanda njoo utapanda ungo bure
 
Nimeona SI vibaya kuongeza ujuzi wangu katika maisha kwa kupanda ungo au fisi wa kichawi, kama humu jf Kuna member anayemiliki vyombo tajwa vya usafiri, au Una ndugu ama rafiki, ningeshukuru Sana, nataka kuexperience kuruka hewani na ungo, au kupanda fisi

vigezo na masharti kuzingatiwa lazima uwe uchi wa mnyama ndo maana kuna member anataka kujua jinsia ili apate kampani ila watu wengine hawatawaona shida mkipita anga za wenyewe hapo ndo mwisho wa ubaya aibu!
 
ungo ni moja ya next gen advanced technologies, unatumia principle ya warp drive kutengeneza a hole between the universe bending space-time hivo huweza kukusafirisha kwa speed less than speed of light ila anaonekana kama umezidi speed of light sababu tu unapunguza the distance between the origin and the destination...

umemjibu kitaalamu.. dah umetisher
 
Back
Top Bottom