JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa...
2 Reactions
15 Replies
151 Views
Wakuu nataka nipate watu kumi tu tuanzishe uzi wa memes tu tuwe tunacheka kuongeza siku Nikipata watu kumi tu tuta anzisha uzi wa vichekesho tutakua tunatupia memes kila siku na member humu wenye...
2 Reactions
7 Replies
102 Views
Kitambaa Cheupe mnapazingizia tu. Pana wastaarabu sana. Izo sehemu mbili tajwa kwa level yangu ya dhambi, nimeona mengi sana.
32 Reactions
332 Replies
9K Views
Bima ya afya ya uhakika , achana na hii ambayo kuna matibabu haupewi Passport, yani wewe tulia kabisa. Bustani ya mboga, wewe ni kima ambae hata haujitambui hivyo usichalenge na mimi, Cheti...
4 Reactions
3 Replies
69 Views
Ciao, Kuna baadhi ya watu humu jukwaani wamevurugwa na maisha kwa iyo wasikusumbue akili. Utawajua kwa hizi komenti 👇 "Jiandae urudi shule" "Kwan shule zimefungwa?" "Hama apo kwa shemeji...
4 Reactions
6 Replies
125 Views
Enzi hizo Tanzania tulikuwa na kituo kimoja cha radio, RTD. Piga ua ilikuwa lazima tu usikilize vipindi vyao vile vya ajabu ajabu kama vile, 1. Mbiu ya mikoa 2. Asilia salamu 3. Ukulima wa kisasa...
0 Reactions
73 Replies
12K Views
Mbishi:Mimi siachi kula nyama choma,mimi nitaendelea kula kila saa,nitaendelea kunywa pombe na soda,hatukuja duniani kua walinzi wa dunia,hakuna anaeishi milele mimi: 😂😂😂😂😂siku yake itafika tu🫣...
5 Reactions
41 Replies
514 Views
Mosi: uchawi wa farakana unalenga kuvunja mahusiano na kuleta chuki, utengano, au migogoro mikubwa kati ya wanandoa, wanafamilia, au marafiki waliokuwa wakipendana sana. Pili, uchawi wa gundu...
3 Reactions
13 Replies
179 Views
Kama unajiamini kama mimi na unayo pesa , kamwe usiseme kumpata mwanamke mzuri, kunategemea tabia yake Ukweli ni kwamba hatuna mwanaume anapenda mwanamke m baya wa sura ni ukosefu wa...
22 Reactions
55 Replies
539 Views
Do you believe in love? ❤️ Wadau, mnaamini kweli katika upendo wa kimahaba, au siku hizi ni hadithi tu? Je, kuna mtu unampenda? Anajua hilo? Na unahisi anathamini upendo wako au hauoni kabisa...
13 Reactions
262 Replies
2K Views
Siku nyingine Tena 🙏
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Nyuzi zao ni uhakika wametupa raha kweli na burudani huu mwezi. asanteni wakuu endeleni na moyo huohuo wakutuburudisha.
0 Reactions
14 Replies
121 Views
Ni tembo na nyati ni walaji wazuri wa mirungi.. Na wanakula ile fressh kabisa halafu free of charge na hawakamatwi na police Zinaitwa raha za mwituni😋😎😀 https://www.facebook.com/share/v/1CJ11maTpt/
4 Reactions
24 Replies
343 Views
Familia hotuba ya Trump MBELE ya Civilian-Coin
5 Reactions
22 Replies
451 Views
https://www.facebook.com/share/v/1BVTA15BYj/
1 Reactions
0 Replies
47 Views
Kwenye moja na mbili mkoa x nimefungua famasi , inauza jumla na reja reja , inafanya vizuri . Picha lianza kibaka mmoja yupo hospital x kanichongea kwa mfamasia wa mkoa , mbaya zaidi...
15 Reactions
33 Replies
308 Views
Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia...
46 Reactions
966 Replies
11K Views
Kwa wale wazee mliosoma kipindi tunabeba maji, kidumu na mfagio kwenda shule mtakuwa mnakumbuka lile shairi moto na maji wakijibizana kuwa nani ni bora. Nyie vijana wa siku hizi sijui kama lile...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Kwa mimi Nilijuta. Nilimpenda so nikampa smartphone WiFi iko home 24/7. Show niliona .. ndo alipoanza kubadilika.. kulala saa nane usiku, kuamka mpaka umwamshe. Vyombo unarudi unavikuta. inshort...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Back
Top Bottom