min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,519
- 164,575
Kwenye moja na mbili mkoa x nimefungua famasi , inauza jumla na reja reja , inafanya vizuri .
Picha lianza kibaka mmoja yupo hospital x kanichongea kwa mfamasia wa mkoa , mbaya zaidi mfamasia ni familia , kapiga simu moja tu , ana bia zake , za mwaka mzima bar x .
Wamatumbi dawa yao ni moja tu , piga kwenye mshono mamaeee