Salamu wakuu!
Sio kila siku maisha magumu. Leo nipo hapa kurahisisha maisha ya watu, japo kwa kiasi kidogo cha vocha au bucket ya bia.
Jitokeze, jishindie, furahia wikendi.
Vigezo na masharti...
Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga .
Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili...
Wakuu,
Inabidi kubadilika; kutolewa mtoko wa kwenda sehemu fulani si kupeleka mdomo na tumbo tu, bali pambana ata uchangie kachumbari.
Hii itakujengea heshima na kukuonyesha wewe ni mtu wa...
Hell
Una weza uka una ongea na mtu kwenye baada ya mda ana kwambia subiri nipokee hiii simu ana pokea mara ya kwanza af ana kurudia ile mna ongea tena huyoo tena ana kusubirisha yaan kiufupi...
jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa...
Hiv mwanaume kamili unawezaje ekeza ela yako kwenye kamari kama sio upumbavu.
Fuga kuku,mbuzi,nguruwe,ngombe ama mfany biashara.maana mkamaria n mtu...
Ukiwa mume mwenye mke zaidi ya mmoja basi kila hatua unayochukua inakubidi uitafakari mara mbili. Hayo yametokea jana baada ya baba mwenye mji wake kumpost mke mdogo kwenye Status WhatsApp
Baada...
1. 2006 - 2015
2. 2016 - 2026
Uchambuzi wa vizazi viwili vya JamiiForums (JF) unaonyesha mageuzi makubwa kutoka kwenye jukwaa la wasomi na wachambuzi wazito hadi kuwa uwanja mpana wa kidijitali...
🎶 Ni wimbo gani wa Desemba unaupenda zaidi? Chagua moja au zaidi na tuma list yako!
1️⃣ ‘Jingle Bells’
2️⃣ ‘Silent Night’
3️⃣ ‘We Wish You a Merry Christmas’
4️⃣ ‘Last Christmas’
5️⃣ Wimbo...
Kisayansi inawezekana mwanamke kupata mimba nyingine akiwa tayari ana mimba, ingawa jambo hili ni adimu sana na hutokea kwa nadra mno duniani.
Hali hii ya kitabibu inajulikana kama Superfetation...
Yaani wanaume imefika hadi tuna dressing table limejaa makolokolo kama saloon za kike.
Mara mtu ana sabuni aina zote hadi ya kunawia uso, ya tumbo na mgongo unayo, shampoo ya kichwa makopo kama...
Ni kuwepo duniani ili kutafuta hela, kushindana au ni kuwepo duniani ili tuishi?
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo na kugundua kuwa, watu wengi wanatumia nguvu kubwa ya kutafuta hela, vyeo...
Shukrani kwa mchumi grade one niliyekuwa nimekaa naye jana kwenye ka pub kamoja kalichozungukwa na maji machafuyaliyoshindwa kupata njia ya kupita kutokana na serikali za mtaa chini ya CCM kupuuza...
Habari everyone ɪᴛᴀᴋᴀᴀ ᴘᴏᴀ ʜᴀᴘᴀ
New member by the way,
I observed the beauty of JamiiForums, ni jukwaa ambalo linasaidia watu wasiopenda association na vijiwe visivyo na maana in the streets
Any...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.