Kama hauna hivi usikae unachalenge

Kama hauna hivi usikae unachalenge

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
58,837
Reaction score
169,660
Bima ya afya ya uhakika , achana na hii ambayo kuna matibabu haupewi

Passport, yani wewe tulia kabisa.

Bustani ya mboga, wewe ni kima ambae hata haujitambui hivyo usichalenge na mimi,

Cheti cha elimu ya msingi vunga kabisa .

Mlokole, unaweza kuni ignore kabisa .

Haujawahi kufika hata nchi moja ya Africa tu , nipotezee hata ukiona nazidi kubishana na wewe .
 
Back
Top Bottom