Mwanamke wa kichaga,kwa mwonekano mzuri sana,ila kilichotokea kwasasa hajui timing,yaan nikiwa na mawazo badala ya kunicomfort yeye ndio ananikandamiza,sina uhakika kama anaelewa au haelewi,sasa...
Hivi jamani wadau mnadhan Ni kwanini siku hizi suala la akina Dada kupiga pic za utupu kisha kuziweka mtandaoni linazidi kushamiri kila iitwayo Leo
Maana imekua kama fashion
Sijui niseme ni ushamba au nikuamua kunikaangisha tu.
Sababu sielewi tumeadiana sasa moja jioni tukutane hapa, sasa vipi mbona kimya mpaka muda huu?
Kila nikipiga simu "nakuja " mpaka saa...
Nimetoka kumshuhudia muda si mrefu rais Barack Obama CNN aki mkiss raisi wa Myanmar kiss ya kimahaba kabisa mpaka nikaingiwa na hofu na huyu muheshimiwa kuhusu tabia yake hii hasa anapokutana na...
Hii tabia ya watu kupewa haya majina imekuwa ikibeba historia zao ila mi yamekuwa yakinishangaza na kunifurahisha pia mfano hapa kwetu kuna jamaa anaitwa "machapati" huyu jamaa asubuhi tu...
Mtu mzima na akili zake anakuandikia ujinga eidha mnachati kwa sms au kakuandikia barua, au email, au hata hapa JF, au mtandao wowote ule........Anakaa kabisa anaanza kuandika.........xaxa ile...
Nimekuwa nikisikia jukwaani vibamia vibamia, nilijua bamia zote ni ndogo, msemo huu sasa upo proved wrong, bamia kubwa zipo, jana katika pita pita zangu sokoni nimekutana na Bamia kubwa kubwa...
Ishu ya kuhalalisha tabia mbaya kwa kivuli kuwa ni nature ya jinsia fulani mkome! ni tabia binafsi tu na ushetani wako. mkome kabisaaaaaaaa kuisingizia nature, nature iachie misitu, bahari,milima...
Haya maelezo yalinifanya kuchukua tip ya kutosha siku nilipopanda mlima kilimanjaro nikiwaongoza wamarekani.
Maelezo yalikuwa hivi:
"to plant mount kilimanjaro is not president job because the...
Habari za weekend wana cc, nimekutana na classmate wangu wa enzi za O level tumekumbushana mengi sana ikiwemo vituko vilivyo happen enzi tunasoma. Mbali na utoro ambao ni common kituko gani...
Kovu lililoshonwa nyuzi mbili au tatu au hata lisiloshonwa, na linaweza kuwa popote usoni, mguuni au hata mkononi.
Hawa mabinti wanakuaga wanajiamini sana na ukimletea zengwe lazima akuadabishe...
Habari ya wakati huu wana jukwaa,
Nimeshuhudia mtu mzima (me) akiingiza mkono ndani ya suruali kwenye nyeti zake akiwa anajikuna huko na alipomaliza akautoa na kuunusa, ni kitendo amekifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.