nimeiokota mahali hebu tafakari.Msomi mmoja mwenye PhD pamoja na kijana mmoja ambaye hakubahatika kusoma walisafiri pamoja kwenda kutembelea mbuga moja maarufu yenye maua na ndege wa kuvutia...
siku za hivi karibuni nimekuwa siku moja moja nalewea homu nimeona kumbe ni fresh. hakuna risk ya ugomvi,kwa sisi tusioweza kucontrol pombe inatusaidia maana zikiisha zimeisha ni kulala, ukizima...
We dada nimekuona kwenye clip whatsap ukinyoa mchepuko wa mumeo kwa kisu huku ukitaka kumshindilia na chupa.
Popote ulipo nakutafuta, mrembo kama wewe mumeo hastahili kukutenda hivyo mpk...
Leo nimebahatika kuona macho ya mdada sijawahipo kuyaona ,hana mwili ila macho yake tu ,utafikiri anakwambia kitu na huchoki kumtazama ,ila yeye kukutazama ndio kindende ,mwanzo nilizani anataka...
Jamani linanisibu hili:
Kuna demu wa mshikaji ambae ananitaka kimapenzi kwa njia awezayo, na kila ninapokutana nae anamkana sana mshikaji kuwa hajawahi kutoka nae japo ni kweli demu katumika, so...
Tangu ujiunge JF ni reply ipi unadhani iliyo isoma hapa ilikuwa nzuri au bora kwako? lets share hapa tufurahie wote kwa pamoja. Mimi na naanza na ya kwangu.
MTOA UZI...
Ni saa 3.58 asubuhi ya jumatatu hii, nikiwa najiandaa kuelekea kwenye mishemishe zangu za kila siku nasikia simu yangu inaita.-Ni namba ngeni, naiwahi kwa shauku kabisa nikidhani pengine ni habari...
Amani iwe nawe msomaji.
Ikitokea kwamba maisha yako yanafikia ukingoni na ni lazima mpenzi,mke au mume uliyenae arithiwe na mwanamziki mmoja nje au ndani ya nchi,ungemchagua nani?!
Siku ya...
Dah!! hii dunia tumefichwa mambo mengi sana piga namba hii ujionee mwenyewe *150*900# tumia line ya voda kiukwel dunia imefikia ukingoni jionee mwenyewe
Nimetoka harusini leo hizi meza za kukaa tuu watu hamjuani, sherehe si ya ndugu ni zile za kuchangia tuu.
Pembeni yangu wako wadada 2 yaani walikuwa wanapiga story mwanzo mwisho, walishiriki...
Unampigia msichana simu akipokea tu anaanza "niambie kaka angu" au Kijana unamwida mdada wa makamo "niambie dada fenela". Mimi natoka mikoa ya kaskazini wewe unatoka hapa pwani huo ukaka unatokea...
Kuna mama mmoja mtaani kwetu ni mgonjwa wa akili(kichaa), cha ajabu ana mtoto na sasa hivi ni mjamzito tena wakati mtaani kwetu hakuna mwananaume mwenye matatizo ya akili.
Rumas zilizopo juu ya...
Ilikuwa asubuhi mida ya saa mbili Salma
alishtuka kutoka usingizini kutokana na
makelele ya mtaani kwao kinondoni shamba ''
Uswazi'', harakaharaka akatafuta shati na kanga
yake na kubeba ndoo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.