nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Mwanamke wa kichaga,kwa mwonekano mzuri sana,ila kilichotokea kwasasa hajui timing,yaan nikiwa na mawazo badala ya kunicomfort yeye ndio ananikandamiza,sina uhakika kama anaelewa au haelewi,sasa yupo chuoni huko mbaaaaali kabisa,akijisikia anakuja kufuata vya utamu,lakini nakuta marafiki ndio wananifanya nifurahi kushinda yeye,tukiwa tunaongea na simu haipiti dk 5 hatujagombana,sio tabia mpya...ni baada tu ya kuzaa naye,na nina mtoto wa miaka miwili kasoro pata picha nimevumilia muda gani hajabadirika kwa mtakaosema nivumilie....je kipi ni sahihi kukifanya!