Kabla ya kulaumu jiulize ulimfanyia nini mumeo hadi amekuwa na tabia hizi?
TABIA SUGU ZA WANAUME WA AFRICA
1. Ukali
2. Ulevi
3.Kuchelewa kurudi nyumbani
4. Kupenda marafiki kuliko familia
5...
Jamani hiyo kauli nimetokea kuichukia na kuiogopa kwani mara
nyingi (zaidi ya 99%) nikiambiwa na mpenzi wangu na pia hata
kwa wanaume wengine wenye wapenzi wao ni kupigwa mzinga.
Sasa hivi...
Am a Boy, aged 25.. Right now, i only have a College Education, Yes, I have it. I Like to Speak the truth, and my heart rejoice in that, though... I Lie sometimes. It's Human i believe. I Love...
IMALIZE SIKU YAKO
KWAKICHEKO..
Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu
salama ww?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko
nyumbani washa...
Fomu toka kwa "BABA MKWE" mtarajiwa.
FOMU YA MAOMBI YA KUMUOA BINTI YANGU.
KIJANA MLENGWA, JAZA FOMU HII KWA MWANDIKO WAKO MWENYEWE NA KWA HERUFI KUBWA.
Mimi ......................., natuma...
Jamani hivi sharia ya nchi inasemaje kuhusu Sexual Harassment, ninavyoelewa kumtamkia mtu asiyekuhusu kimapenzi kitu chochote kuhusu mapenzi si sawa (it applies for both men and women) lakini huku...
THESE ARE THE CLASSES OF LADIES WE HAVE IN TANZANIA
1. A girl that asks you for money all the time is called Ghana Commercial Bank
2. A girl that calls you for food always is called Agricultural...
Hadithi ya Mbwa wetu hodari
Paka ni rafiki wa mama. Mbwa ni rafiki wababa. Mbwa wetu ni mkubwa, anaitwa Popi. Mbwa wetu ni mzuri na hodari sana. Kila siku usiku analia Wo! Wo! Wow!'. Akimuona...
Ipo hivi
Kuna jamaa mmoja mshikaji anamiliki michepuko kadhaa hapa mjini. Anadai hana kipaji kingine zaidi isipokuwa kipaji cha kufanya yale mambo ya faragha Kaangalia weeeee kaona hana kipaji...
Ee Mungu uliye mkuu,Mungu usiyeshindwa lolote,Mungu ujuaye mawazo ya kila mmoja wetu,ujuaye kila mmoja awazaye juu ya mwingine.
Mungu wangu,uliiumba Tanzania kwa makusudi yako,ukawaweka wanadamu...
Kaandamwa hadi kwa ridhaa yake mwenyewe ameamua kuachia ngazi mwenyewe na kuandika rasmi barua ya kulivua Taji.
Namzungumzia mrembo Sitti ambae ndie alieibuka mshindi kwenye shindano kubwa na...
Katika pita pita zako JF, utakuwa unafurahishwa na michango ya member kadhaa....kiasi kwamba mpaka unajenga picha huyu atakuwaje kutokana na michango yake kwenye post mbali mbali....hatimaye...
Gharama za uendeshaji za tendo la ngono zipo juu. Kama utaamua kufanya ngono mara moja kila wiki kwa mwezi ni tsh 200000/= hii ni karibu nusu ya mshahara wa mwalimu. Ukimchukua demu, wewe na yeye...
Hata miaka 30 sijafikisha lakini nishaanza kuota mvi, ndiyo life span ya imepungua kiasi hiki au ni ukosefu wa virutubisho fulani fulani mwilini.
Niejitahidi kupambana nazo kwa kuweka piko ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.