Kiss la Obama

Kiss la Obama

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
18,118
Reaction score
28,021
Nimetoka kumshuhudia muda si mrefu rais Barack Obama CNN aki mkiss raisi wa Myanmar kiss ya kimahaba kabisa mpaka nikaingiwa na hofu na huyu muheshimiwa kuhusu tabia yake hii hasa anapokutana na viongozi wa juu wa kike wa nchi husika,hebu tupieni hii wadau halafu mtoe comment zenu .
 

Attachments

  • obama-aung-nov-2012-asia-2_1.JPG
    obama-aung-nov-2012-asia-2_1.JPG
    20.3 KB · Views: 245
Nimetoka kumshuhudia muda si mrefu rais Barack Obama CNN aki mkiss raisi wa Myanmar kiss ya kimahaba kabisa mpaka nikaingiwa na hofu na huyu muheshimiwa kuhusu tabia yake hii hasa anapokutana na viongozi wa juu wa kike wa nchi husika,hebu tupieni hii wadau halafu mtoe comment zenu .

Huyu mwanamam kama hataki vile
 
Nimetoka kumshuhudia muda si mrefu rais Barack Obama CNN aki mkiss raisi wa Myanmar kiss ya kimahaba kabisa mpaka nikaingiwa na hofu na huyu muheshimiwa kuhusu tabia yake hii hasa anapokutana na viongozi wa juu wa kike wa nchi husika,hebu tupieni hii wadau halafu mtoe comment zenu .

Mkuu umekuja mbio sana mpaka nimestuka, mbona kiss ya kawaida au hujazowea kuona kiss Za hadharani?
 
Back
Top Bottom