JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Nimekuwa nikisikia jukwaani vibamia vibamia, nilijua bamia zote ni ndogo, msemo huu sasa upo proved wrong, bamia kubwa zipo, jana katika pita pita zangu sokoni nimekutana na Bamia kubwa kubwa sana, nadhani huu msemo sasa hauna maana tena, tutafute jina lingine.