Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Sijui niseme ni ushamba au nikuamua kunikaangisha tu.
Sababu sielewi tumeadiana sasa moja jioni tukutane hapa, sasa vipi mbona kimya mpaka muda huu?
Kila nikipiga simu "nakuja " mpaka saa ngapi?
Bwana eh! Isiwe tabu ngoja niangalie mpango sehemu nyingine.