Ustaarabu ni jambo la msingi

Ustaarabu ni jambo la msingi

VAN HEIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
1,434
Reaction score
617
Habari ya wakati huu wana jukwaa,

Nimeshuhudia mtu mzima (me) akiingiza mkono ndani ya suruali kwenye nyeti zake akiwa anajikuna huko na alipomaliza akautoa na kuunusa, ni kitendo amekifanya hadharani.Nimeshangazwa sana na tukio hili.
 
Ndio maana nimeacha kusalimiana kwa kushikana mikono
 
Huyo atakuwa anumwa kisonono/kaswende mshauri akapime apewe dawa.
 
Mjini hapa.Alikuwa ana hakikisha kama panya-road hawajachukua mzigo.Aliuhakikisha kwa kuunusa!
 
Alikuwa anacheki kama bado zipo na zinanukiaje? Du kweli ustarabu unahitajika sana.
 
Tezi dume! State house ya Tz ishaleta tabu
 
Back
Top Bottom