Ukiwa nje ya bara la Afrika,ukipishana na mtu mkigusana tu lazima atakwambia sorry lakin ukiwa Afrika,mtu ata anakukanyaga au anakanyaga kiatu hakuombi ata msamaha.
Waafrika wagumu sana kusema...
Hakuna asiyekubali kuwa kuna mahousegirl wazuri kushinda watoto wa mama mwenye nyumba na mahouse girl wengine ni wakali kuliko mama mwenye nyumba
Sasa leo MZUNGU MZEE nataka kuelezea maeneo...
Ukistaajabu Ya Mussa Mgosi Hakika Utayaona Ya Firauni Jaja. Jamani Hivi Huku Siyo Kweli KUCHOKOZANA na KUTAFUTANA Ubaya Tena MCHANA Kweupe! Kuna Lodge Sijui Gesti Moja Ipo NAMANGA Tegeta...
Hawa watu huchangia vizuri zaidi katika mada tajwa hapa chini.. Japo kwngne pia hujitahidi..
RITZ na FAIZAFOXY - Maswala ya dini..
T2015CCM na T2015CDM - Maswala ya siasa..
CHIEF MKWAWA...
Jamani kuna member humu anaitwa The Boss
Huyu member most of the comments he make to the posts, anajibu kwa ufupi "Very Interesting"
Hivi ndo yuko bize sana au? maana kila kitu yeye anajibu...
aidha ulishushiwa mvua, uligawa kichapo ama ngoma draw kote ni kupigana kule kule,
Nakumbuka mara ta mwisho ilikua mwaka jana mbwiga flani nlimkopa akawa hataki kulipa, bac nkaona icwe kesi...
1. It makes some people religious = Oh my God, Yes Lord.., Ngaiii..., wooi, Mwathani.
2. It gives some people their first musical lessons = mmmm, aaaaah, ooooo, ooosssshhh... haaaaa.....
3...
Natafuta girlfriend mkweli muaminifu awe muislam mwenye dini walau kiasi umri 18-24 nitakae ishi nae kama mchumba wangu na awe tayari kunionesha kwao. PM
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kuna binti jiran mrembo nimem-aproach takribani mwezi wa tatu sasa lakini majibu yake yalikuwa negative.
Ghafla leo kani-text akihitaji nimtoe out kwani leo ananafasi hadi saa 4-usiku.
Sasa hapa...
Wakuu, kama kweli unataka kufahamu siku ya kifo chako yani tarehe, mwezi na mwaka. unachotakiwa kufanya ni kutaja majina yako yote matatu pamoja na tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa then mimi...
HIV vs EBOLA
HIV: Hello! Who Is This?
EBOLA: Your little sister EBOLA
HIV: Why are you using international number?
EBOLA: I was in Liberia And Now I
am in Nigeria.
HIV: How is the business?
EBOLA...
A grandma is shopping with her grandson.The grandson picks up a toy and the grandma shouts, "Degree put the toy back"!
A woman who was shopping heard this and asked, "Is that his name?"
The...
Bint mmoja wa miaka 19 alipelekwa katika kanisa
moja kwa ajili ya kuombewa baada ya hali yake
kuwa mbaya sana.
Baada ya kuombewa sana akanza kueleza kuwa
yeye alikuwa na dawa ambayo aliitumia ili...
I'm currently in a hot debate with my boys, on some group-chat thing, about the countries with the best chics on the continent.
This is the current poll for the top 6:
- Ethiopia.
- Angola...
Aisee mimi kama bin Adam hzi tabia kwa kweli zinanikera sana...
1. Kuchungulia mtu anaoga bafuni
2. Kusoma SMS inayoandikwa na mtu asiyekuhusu wala hamjuani
3. Kujitapa kwa vitu...
Wakati jana narudi nyumbani toka town nilipanda daladala lkn sikupata siti. Wale tuliosimama hatukuwa tumebanana.
Dada mmoja mweupe mzuri kwa sura na mwenye makalio makubwa kiasi kakandamiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.