JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuweni wapendwa tumjue Mungu kwanza. Jiulizeni mnakoenda mbona awaitaji matikitimaji ,mapeasi, tango pori? Wanauliza vitu vituko
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mm huwa napenda kuugalia mpira sana, naombeni wadau nikita kula na kuangalia mpira ni bar gani nzuri kinondoni naweza kwenda?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimegundua siku jogoo akigundua kutumia kondom yai litabakia historia, Nimegundua madem wengi wanapenda sana kupewa zawad hata kama ni za bei ndogo, Nimegundua ni vigumu mwanaume kudanganya hana...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Kuna watu wana mitindo ya kizamani wakitaka kitu kutoka kwako. Hii ni kuanzia Bia, fedha, biashara na mengine mengi. Kama kweli mtu unashida na kitu hamna haja ya kumwita mtu majina ya kinafki...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake, MKE: Unataka nini we mpumbavu? MUME: Nani huyo unamtukana? MKE: Kuna mtu hapa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna mtoto alikutwa analia juu ya kaburi, wakamuuliza unalia nini? akasema "mke wake kaka yake ni mjomba" je aliyekufa ni nani yake?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hichi kipindi kilichokuwa kinarushwa EATV binafsi nilikuwa nakipenda sana ila sasa sielewi wamepotelea wap? Nawakumbuka kina Mzee wa fiksi, cha uroho hawa wakiwa ni baadhi ya wakali wa kipindi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar ya humu wadada na wakaka... Wakubwa na wadogo kwa ujumla.. Nimekumbuka hili tukio lililonitokea kitambo kidogo japo si sana lakini bado nakumbuka na ningependa kushare na ninyi hapa..najua...
1 Reactions
95 Replies
10K Views
Nilikuwa baa moja hivi napata kinywaji baridi, jirani nami alikuwepo jamaa mmoja na binti mrembo. Mara wakaingia jamaa wawili wakaelekea kwenye ile meza ya yule bwana na yule binti, kisha jamaa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
whats hot over here,,!! Nilikua kwa dili zangu za pesa, men i micd you. Cute ladies say 'yeess beibiii' hang outs wapi this evn! Any one need help! Im out. Its w end.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nakumbuka Enz Hzo Demu Wangu Nilimhonga Pesa Ya Ada Kwa Ajili Ya Malipo Ya Hostel Pia Pale Nilipompa Smatfon Ya Bei Mbayaa... Demu Wng Flan Hv... Nam Kubaki Na Kisim Cha Tochi Cha Kufunga Kwa...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
NIAJE NIAJE MAZEE...ebana hii tabia inanikera sana nilijua ni kwa wadada.kumbe hata midume na midevu yao.jitu umelikuta bar lina gonga kiroba au safari,na wewe umeingia kivyako ila kwa vile...
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Hi MMU, huu ni ukweli umenitokea weakend iliyopita, nilichepuka na mdada mzuri kweli hapa mtaani, kiukweli nilijaribu kumtongoza mpaka akakubali ila tulikubaliana nimpe elfu 20 baada ya tendo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
najiuliza hapa kaswali kadogo... hawa wanadamu wa kwanza kabisa kufanya mapenzi.. je walijua matokeo yake ni nini? kwanza walifundishwa na nani kugegedana? walijuaje kuwa kugegedana ndiyo...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakumbuka alikuwa mtu mwenye dharau sana lakin baada ya kuumbuliwa na makachero wa jf sijamuona tena. Hebu kama upo Mpigamsuli nyosha kidole namm nikuone hahahaaaaaaaaaaa! Jf kiboko
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Je ongezeko la vijana kuitana "jembe" unadhani itasaidia kuinua shughuli za kilimo Tanzania?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom