Acheni habari zenu

Acheni habari zenu

katibasitti

Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
61
Reaction score
37
Ishu ya kuhalalisha tabia mbaya kwa kivuli kuwa ni nature ya jinsia fulani mkome! ni tabia binafsi tu na ushetani wako. mkome kabisaaaaaaaa kuisingizia nature, nature iachie misitu, bahari,milima na ardhi. Binadamu hakuna mambo ya kusema eti wanaume ni kawaida yao kufanya hili mara lile,mmeumbwa na utashi sio wanyama nyinyi! mmeumbwa na uelewa wa jema na baya.
 
Hebu tulia yaani inaonekana kabisa unatatizo sugu ,hebu elezea kwa kituo umesibiwa na nini ?
 
Ni sie wanawake ndio hatujitambui, uko michepukoni ni wanawake km sie wako huko sio misukule..ni mpk hapo tutakapoacha roho ya ushetani, wanaume kuweni na aibu wengine mnaenda kuwafungulia nyeti zenu wanawake sawa na mabinti zenu...mmmh
 
Hizi post za usiku zina mambo kweli, usingizi umekata uko pekeyako chumbani so lonely, unawaza na kuwazua kimyakimya mwisho unaamua kujifariji na JF, bila kujua unapost zile stress ukifikiri ni post ya kawaida, ukiamka asubuhi hebu pitia post yako tena unaweza ukashindwa kuielewa hata we we mwenyewe au ukajikuta unapaswa kufanya marekebisho makubwa
 
Life is too short for you to be a liverpool fan...lol
 
Kimenuka chumbani...
Kiruuuuuu...
 
Back
Top Bottom