JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Moja kwa zote kwenye mada!! Kifo kisikie tu wakuu leo baada ya mvua na radi kubwa na nyingi niko zangu mtaan nimejibanza sehem nikisubili hali ipoe niende na mishe zangu Sasa kilichofatia hapo ni...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi? KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena...
4 Reactions
14 Replies
231 Views
Habar za Jumapili wakuu Mlioenda kanisan mmekumbuka kutuombea sisi wengine
3 Reactions
24 Replies
266 Views
Nani wana nafasi ya kipekee peponi kwenye ulimwengu wa jinsia pinzani?
19 Reactions
258 Replies
3K Views
Dah the voice kinyerez habari nyingine watu wanakula maisha Acha tuu karibun the voice
3 Reactions
10 Replies
666 Views
Kifungua kinywa (breakfast) bomba ni kipi?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Asubuhi: Ma-Don wa Chai ya Rangi Siku inaanza saa kumi na moja alfajiri kwa nyuzi za kujimwambafai. Raia wanaanzisha mada za "Niko Five star hotel Dubai..nakunywa capuchino ya Brazil huku...
8 Reactions
72 Replies
608 Views
Mtu una acha kupiga mswaki una kazi ya kutafuna vitunguu saumu asubuhii na karafuu mdomo una anza kunuka kitunguu saumu aseee pigeni mswaki wengine hiyo harufu ya kitunguu ina kera sana hasa...
18 Reactions
85 Replies
769 Views
Asalam aleykum Sheikh.🙏🙏 Sheikh mie ni pagani.Ni atheist mie.Siitikii kengele wala adhana na kabla ya madhila hii kukupata sikuwa nikikufahamu na nashindwa kukupa pole sheikh sbb sijui kwanini...
7 Reactions
31 Replies
481 Views
Eti akipaa ndio kimbembe zaidi
5 Reactions
18 Replies
198 Views
Ukienda saloon ukimaliza kunyoa una ingia kuoshwa kichwa vizuri mpaka masikio ukifika nyumbn hakuna haja tena ya kuoga ni kulala tu 😂😂😂 sio kama zaman ukitoka saloon mbio mbio kuoga 😂
6 Reactions
18 Replies
263 Views
-Wikendi inakaribia tamati -Nimeshinda humu tangu jioni hadi vidole vinauma kisa kutype -huu mfumo ulioanza leo wa kutembeza ban umenichosha sana maana muda si mrefu yatanikuta pia...
9 Reactions
27 Replies
243 Views
Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje...
31 Reactions
225 Replies
2K Views
Tofauti kati ya "BAR" na "BRA" ni nafasi tu ya herufi "R". Ukifungua BAR, wanaume husherehekea. Ukifungua BRA, baadhi ya wanaume hupagawa. 😅 Sasa hebu fikiria ukitoka na msichana mzuri anayeitwa...
2 Reactions
1 Replies
56 Views
JF SIO MAMA WALA BABA YAKO labda kama umeamua kuwa mjinga kama yeye, ila piga ignore, muache aendelee kujisemesha na ku-expose madudu yake. Ule muda unaoenda kazini, mwenzako amekaa kwenye kochi...
7 Reactions
9 Replies
100 Views
Mliopo single muda mwingine mjaribu kulala mlango wazi inawezekana soulmate wako ni mwizi
17 Reactions
79 Replies
880 Views
Leo bi mkubwa kanicheki , kakuta naongea kilevi levi kazingua kinouma, nikafanya kumtumia 200k kimya kimya, baada ya muda , akaandika yaani ungekua hapa mwanangu , tungefurahi mno, leo...
39 Reactions
84 Replies
1K Views
Ni tetesi au habari zipi unazokumbuka ambazo zilivuma sana enzi hizo lakini hazikutokea. Ninazozikumbuka ni pamoja na tetesi kamba dunia ingefika mwisho mwaka 2000. Nakumbuka kuna watu walikuwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom