Saloon za sikuizi mpewe maua yenu

Saloon za sikuizi mpewe maua yenu

Ukienda saloon ukimaliza kunyoa una ingia kuoshwa kichwa vizuri mpaka masikio ukifika nyumbn hakuna haja tena ya kuoga ni kulala tu 😂😂😂 sio kama zaman ukitoka saloon mbio mbio kuoga 😂
Na mengine mengi🤣🤣🤣
 
Mimi wakiniona Wala hawahangaiki kuinuka kwenye viti vyao... Wanaendelea kuperuzii tuu na simu zao.

Wanajua baada ya kunyoa ni kujipaka spirits tu na kuondoka. Hakuna kuosha.
Una wakosea sana 😂😂 wape kidevu ikoo wakioshee
 
Halafu akiwa anakuosha na chuchu zinakuwa zinakusogela kwenye kichwa...kufumba na kufumbia bili laki mbili😆
😂😂😂 wana makusudi mm huwa naguna na kucheka juu
 
Una wakosea sana 😂😂 wape kidevu ikoo wakioshee

Matatizo ni ya kuyakimbia. Mtu anakuinamia chuchu zinakugusa usoni... Anakutekenya na vidole masikioni.. (sio kwamba wana kuosha) anahamia kwenye pua tena... Mara ya mwisho nafutwa pua kama na kamasi nadhani sijui nilikuwa class 1 au chekechea... Sasa na uzee mtu anafanya hayo... Bado anafungua shati nusu vifungo kisa kuosha shingo tuu kufuta nywele...
Hayo yanaendela huku anakupigisha story na kuchungulia kwenye kioo vile una hamgaika (maana unakuwa umefunga macho). Hiyo yote ya nini? Kwanza Sasa hivi hata nikiona saloon ina maandishi makubwa na vioo vingi siingii... Na sometimes mama nyumbani ananikwangua upara safi kabisa... Nikienda huko saloon labda masharubu tu kuyaweka sawa.
 
Ahahah wanataka kukuvunjia ndoa kabisa
 
Sisi wenye hashki za karibu saloon zenu hazitufahi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom