Sheikh Walid Alhad Omari

Sheikh Walid Alhad Omari

prida

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
668
Reaction score
1,336
Asalam aleykum Sheikh.🙏🙏

Sheikh mie ni pagani.Ni atheist mie.Siitikii kengele wala adhana na kabla ya madhila hii kukupata sikuwa nikikufahamu na nashindwa kukupa pole sheikh sbb sijui kwanini umeenguliwa ila naamini kuna kosa umetenda na nina tamani kujua ulipokosea sababu;

1)Video zako chache nilizopitia zimefanya niutamani uislamu.
Sheikh,the way unainukuu na kuitafsi Quran kwa utulivu na kujiamini huleta amani moyoni.

2)Sheik una sauti nzuri ya kipekee.I gues unafanya vocal training kwa ajili ya mawaidha ila kama umezaliwa nayo hongera.

3)Sheikh,una tabasamu fulani hivi huwa linajitokezaga unapoongea hakika linavutia.Hata wakati unakabidhi ofisi tabasamu lile halikuacha kujitokeza.

4)The way umekabidhi ofisi ile kwa upendo,utulivu na hekima imenivutia.

Naamini walokutengua wana sababu za msingi na utajirekebisha ila kama ni ajili ya yule mdada walitazame jambo upya mana kwa clip niloona dada yule akimchamba Diva naona kama shosti angu yule ana shida mahala.Yawezekana nikakosea ila dada yule nahisi si malaika sana ni vile tu katika vita kati ya mwanamke na mwanaume mara nyingi mbaya huwa mwanaume.Sisi tukitoa tu chozi na kutaja watoto baasi dunia yote inatuonea huruma.

ALl in all, Allah akufanyie wepesi Sheikh.Ulipokosea akupe rehma za kujisahihisha..
 
Shehe walid hata kama una ID humu, si uweke basi angalau jina la kiume au ndio njia uliotumia kumpata mhanga wako wa mimba.
 
Asalam aleykum Sheikh.🙏🙏

Sheikh mie ni pagani.Ni atheist mie.Siitikii kengele wala adhana na kabla ya madhila hii kukupata sikuwa nikikufahamu na nashindwa kukupa pole sheikh sbb sijui kwanini umeenguliwa ila naamini kuna kosa umetenda na nina tamani kujua ulipokosea sababu;

1)Video zako chache nilizopitia zimefanya niutamani uislamu.
Sheikh,the way unainukuu Quran kwa utulivu na kujiamini huleta amani moyoni.

2)Sheik una sauti nzuri ya kipekee.I gues unqfanya vocal training kwa ajili ya mawaidha ila kama umezaliwa nayo hongera.

3)Sheikh,una tabasamu fulani hivi huwa linajitokezqga unapoongea hakika linavutia.Hata wakqti unakabidhi ofisi tabasamu lile halikuacha kujitokeza.

4)The way umekabidhi ofisi ile kwa upendo,utulivu na hekima imenivutia.

Naamini walokutengua wana sababu za msingi na utajirek3bisha ila kama ni ajili ya yule mdada walitazame jambo upya mana kwa clip niloona dada yule akimchamba Diva naona kama shosti angu yule ana shida mahala.Yawezekana nikqkosea ila dada yule nahisi si malaika sana ni vile tu kqtikq vitq ya mwanamke na mwanqume mara nyingi mbaya huwa mwanaume.Sisi tukitoa tu chozi na kutaja watoto baasi dunia yote inatuonea huruma.

ALl in all Allah akufanyie wepesi Sheikh.Ulipokosea akupe rehma za kujisahihisha..
Kwanza naomba niweke jambo moja vizuri,shehe Walid hakutenguliwa bali amesimamishwa kusubiri uchunguzi juu ya tuhuma dhidi yake,na iwapo itaonekana hana hatia basi atarejeshwa kwenye nafasi yake.Ni jambo la kawaida kiongozi yoyote anaposhutumiwa juu ya tuhuma,basi anasimamishwa na uchunguzi ukishafanywa na kukutwa hana hatia hurejeshwa na akikutwa na hatia basi hicho cheo hatokipata tena
 
Asalam aleykum Sheikh.🙏🙏

Sheikh mie ni pagani.Ni atheist mie.Siitikii kengele wala adhana na kabla ya madhila hii kukupata sikuwa nikikufahamu na nashindwa kukupa pole sheikh sbb sijui kwanini umeenguliwa ila naamini kuna kosa umetenda na nina tamani kujua ulipokosea sababu;

1)Video zako chache nilizopitia zimefanya niutamani uislamu.
Sheikh,the way unainukuu Quran kwa utulivu na kujiamini huleta amani moyoni.

2)Sheik una sauti nzuri ya kipekee.I gues unqfanya vocal training kwa ajili ya mawaidha ila kama umezaliwa nayo hongera.

3)Sheikh,una tabasamu fulani hivi huwa linajitokezqga unapoongea hakika linavutia.Hata wakqti unakabidhi ofisi tabasamu lile halikuacha kujitokeza.

4)The way umekabidhi ofisi ile kwa upendo,utulivu na hekima imenivutia.

Naamini walokutengua wana sababu za msingi na utajirek3bisha ila kama ni ajili ya yule mdada walitazame jambo upya mana kwa clip niloona dada yule akimchamba Diva naona kama shosti angu yule ana shida mahala.Yawezekana nikqkosea ila dada yule nahisi si malaika sana ni vile tu kqtikq vitq ya mwanamke na mwanqume mara nyingi mbaya huwa mwanaume.Sisi tukitoa tu chozi na kutaja watoto baasi dunia yote inatuonea huruma.

ALl in all Allah akufanyie wepesi Sheikh.Ulipokosea akupe rehma za kujisahihisha..
Mkuu prida ikiwa utaona hata namna yoyote ile nzuri ya kumpa pole niko hapa kukupa mawasiliano yake au kukukutanisha naye ,hakika imetuuma wengi .

Alafu bado hata wake wanne hajafikisha na amari anazo hivyo nadhani yupo kwenye mafikirio ,Insh'Allah Allah atamfanyia rudufu kwenye jambo hilo
 
Kwanza naomba niweke jambo moja vizuri,shehe Walid hakutenguliwa bali amesimamishwa kusubiri uchunguzi juu ya tuhuma dhidi yake,na iwapo itaonekana hana hatia basi atarejeshwa kwenye nafasi yake.Ni jambo la kawaida kiongozi yoyote anaposhutumiwa juu ya tuhuma,badi anasimamishwa na uchunguzi ukishafanywa na kukutwa hana hatia hurejeshwa na akikutwa na hatia badi hicho cheo hatokipata tena
Nafsi yangu inanambia Sheikh atarudi
 
Yule Sheikh namuelewa sana
Ana exposure ya mambo mengi hivyo anauwezo wa kuelewa Quran vizuri .
" Tafuteni Elimu hadi China" nafikiri amezingatia maelekezo ya Qurani kwa kujiendeleza kwenye Elimu za kawaida hivyo akawa na uelewa mpana."
 
Mkuu prida ikiwa utaona hata namna yoyote ile nzuri ya kumpa pole niko hapa kukupa mawasiliano yake au kukukutanisha naye ,hakika imetuuma wengi .

Alafu bado hata wake wanne hajafikisha na amari anazo hivyo nadhani yupo kwenye mafikirio ,Insh'Allah Allah atamfanyia rudufu kwenye jambo hilo
Siwezi kumpa pole ilhali sijui kosa lake.
Unaweza toa pole kumbe ana makosa.
Hata hivyo natamani akutwe hana hatia.
 
Haya umepata mume, nenda kaslimu ili uisikie kila siku tena live hiyo sauti yake unayosema nzuri !!!!

Kama ana makosa lazima aadhibiwe, hakuna namna nyingine
 
Asalam aleykum Sheikh.🙏🙏

Sheikh mie ni pagani.Ni atheist mie.Siitikii kengele wala adhana na kabla ya madhila hii kukupata sikuwa nikikufahamu na nashindwa kukupa pole sheikh sbb sijui kwanini umeenguliwa ila naamini kuna kosa umetenda na nina tamani kujua ulipokosea sababu;

1)Video zako chache nilizopitia zimefanya niutamani uislamu.
Sheikh,the way unainukuu na kuitafsi Quran kwa utulivu na kujiamini huleta amani moyoni.

2)Sheik una sauti nzuri ya kipekee.I gues unafanya vocal training kwa ajili ya mawaidha ila kama umezaliwa nayo hongera.

3)Sheikh,una tabasamu fulani hivi huwa linajitokezaga unapoongea hakika linavutia.Hata wakati unakabidhi ofisi tabasamu lile halikuacha kujitokeza.

4)The way umekabidhi ofisi ile kwa upendo,utulivu na hekima imenivutia.

Naamini walokutengua wana sababu za msingi na utajirekebisha ila kama ni ajili ya yule mdada walitazame jambo upya mana kwa clip niloona dada yule akimchamba Diva naona kama shosti angu yule ana shida mahala.Yawezekana nikakosea ila dada yule nahisi si malaika sana ni vile tu katika vita kati ya mwanamke na mwanaume mara nyingi mbaya huwa mwanaume.Sisi tukitoa tu chozi na kutaja watoto baasi dunia yote inatuonea huruma.

ALl in all, Allah akufanyie wepesi Sheikh.Ulipokosea akupe rehma za kujisahihisha..
Siasa imepitia hapo kidoogo,uchaguzi haupo mbalii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom