Kweli kabisa Mkuu, nakubaliana na wewe na ndio maana nawewe umepata cha kuchangia lakini naamini vile vile hujapitia nyuzi nyingine humu jamvini ungeniona ulichofanya ni kukurupuka sikulaumu Najua mwezi umepiga kona tena kwenye down kali hivyo stree c habaHii inadhihirisha hukuwa na cha kuandika, umefikiria tangu asubuhi uandike nini leo, sa ivi ndo umepata ukaanzisha haka ka thredi!
Breakfats nzuri hutegemeana na afya yako; mfano kama wewe ni mjamzito kula matunda, chai ya maziwa na glasi moja ya maji. kama mwanaume mwenye afya piga push ups 15, simama pata chapati 2 na supu nenda kibaruani.
Onyo: punguza kuweka threads za kitoto pia.
Sawa Mkuu sikujua kuwa thread zina umri