NILIOMBA TSH 20,000 LEO... LAKINI KUNA KITU KIKUBWA ZAIDI NILICHOKIPATA.
Leo nimejifunza kwamba maisha yanaweza kukushusha mpaka ukafikia hatua ambayo hukuwahi kufikiria. Unaweza kuamka ukiwa na...
Wapendwa.. Kwanini Watanzania wanapenda singeli.. kijana ukimpa nyimbo ya boni mwaitege na d voice au malume.. atachagua malume.. hivi hili mnalionaje???
Wengine sijui ndio umri au vipi, hizi lugha za mtaani zinaanza kutupita sasa.
Rafiki wa girlfriend au mkeo akikuita shem darling anamaanisha nini.
Hii shem darling ni jina, utani au code?
Unajua kioo cha kweli ni macho ya watu na jamii kwa ujumla, sio unajifungia ndani, unajiangalia af unasema we mzuri. acha jamii iamue wewe uko kundi gani. Mimi nilijijua kwa namna watu...
Naomba Mkopo wa TSh 20,000 – Nimekwama kwa Sasa
Habari wakuu wa JamiiForums.
Naomba kwa heshima kama kuna mdau mwenye uwezo wa kunikopesha TSh 20,000. Kwa sasa nimejikuta kwenye kipindi kigumu...
Haya haya wambea wenzangu njooni..!! 😹
Juzi kati nilishikwa na homa. Sasa kuna mtoto wa sis angu alikuja kunisalimia ni mwanachuo wa chuo kimoja hapa jijini..!!
Tukaanza kupiga story na kupeana...
Nimekutana na utani mwingi huko Tiktok unaosema kuwa
“Unatoka out na mpenzi wako afu mnapanda bodaboda? Sasa io ni out au delivery mwanetu????" 😂
Kwa mimi ninavyoelewa Boda boda au Pikipiki ni...
Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!
Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!
Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na...
Kichwa kinajieleza.
Ni jukwaa gani unalipenda sana humu yani..¡! Kila ukiingi jf hile jukwaa ni lazima ulitembelee tu
Ni zipi sababu za wewe kulipenda hilo jukwaa..?
Binafsi muda mwingi nipo...
Unajua kuna vitu vinashangaza sana, kwanini mtu uwe mnafki kiasi kwamba unajinafkia hadi wewe mwenyewe,
Jana katika kuranda randa kwangu hapa JF nikakutana na uzi wa Masai Dada anamuomba msamaha...
Kuna kipindi nilikuwa naamini ipo siku mtu atakuja abadilishe maisha yangu. Nilisubiri nafasi, nilisubiri bahati, nilisubiri msaada.
Lakini kadiri miaka ilivyopita, nikagundua kuwa muda ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.