Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,479
- 18,115
Unajua kuna vitu vinashangaza sana, kwanini mtu uwe mnafki kiasi kwamba unajinafkia hadi wewe mwenyewe,
Jana katika kuranda randa kwangu hapa JF nikakutana na uzi wa Masai Dada anamuomba msamaha mpenzi wake Smart kwa kuandika uzi wa kusema kua anahisia na wanawake zaidi kuliko wanaume, (wait, how comes Smart, i thought Smart is taken, mmh! maajabu hayaishi)
Anyways, huyu bibie ameshakua ananikandia sana hadi nikawa namshangaa unajua mimi ni msiri eeh kuna mambo yanapita afu unakausha life linasonga,
Nilikua nasema of all people why you Masai, we had a great time leo unanikandia hadharini!!! ooh yes yeye hanikumbuki ooops! nilisahau hiki kipengele,
I used to have this ID back days nikasahau password na email that was the end of it, hii Id mind you ni ya mwaka 2014 so you can imagine, those days we were happy but for you to admit it that means you cannot escape of who you are,
Mpo wengi tu humu ila angalau wengi wenu hamuongei mnakausha, i call that a maturity,
Wito wangu msiwe wanafki wanafki kuweni neutral tu.
Ndo kwanzaaaa chupa ya pili kabla sijanyang'anywa simu