Leo nimezingua sana!!

Leo nimezingua sana!!

Kaka maasai

Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
94
Reaction score
234
Nimeenda kwa duka nikanunua ice cream mimi sjawai kutumia.nimeuma icecream kama mkate aisee kitu ni baridi.leo ndoh nimejua kuwa inalambwa sio kuumwa.
 
Back
Top Bottom