JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya kupotea JF kwa miaka 7 hatimaye nimerudi. Deadbody is Back
11 Reactions
113 Replies
2K Views
7 Reactions
15 Replies
229 Views
Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4. Hata kama ni mwaka 2500 au...
6 Reactions
41 Replies
6K Views
ni ndugu zangu upande wa mama yangu mzazi, ni watu kujisifu sana .na huwa hawakubali unyonge lakini ukweli unabaki palepale hawa ndugu zangu asilimia 80 wana maisha magumu sana...kuna wakati...
5 Reactions
19 Replies
254 Views
Kwa sababu mahitaji yangu yote nayapata kutoka shambani na ufugaji, sasa hela ya nini? Nikitaka kula nyama, naingia bandani nachinja kuku au naingia zizini nachinja mbuzi. Nikitaka unga wa...
22 Reactions
153 Replies
1K Views
Huu uzi ni maaluma kwa ajili ya kuchati bila matusi mana kuna wanaopenda matusi sasa hapa hata unapenda matusi ukija kwenye huu uzi badilika hapa ni kuchati mana napenda kuchati balaa na watu...
6 Reactions
22 Replies
222 Views
Kielelezo cha kula kwa ufupi wa kamba Sample bajeti Idadi ya mikoa 5 Idadi ya wanufaika kwa mikoa yote ni 100 Viongozi 15 @200,000 = 3,000,000/= Wasaidizi 50 @100,000 = 5,000,000/= Vidampa 50...
8 Reactions
26 Replies
480 Views
hamis77 Shusha nondo mkuu. Wamebaki wachache kama wewe
17 Reactions
52 Replies
673 Views
Kama kuna mganga ambae unamjua anaweza rejesha mahusiano kuwa shwari, weka namba apa turuke nayo.
1 Reactions
4 Replies
73 Views
Wakuu wazima hivi ni kweli kuna mganga wa mapenzi, au ni sound tu tunapigwa?
6 Reactions
40 Replies
3K Views
  • Redirect
Nipokee mawingun nifike salama.nimeshachoka sitaki mateso tena.
0 Reactions
Replies
Views
Waziri katambi cjui kitambi hilo tamko lako la nida hakikisha unawaambia watoa nida walegeze masharti yaan hata bora ya mganga wa kienyeji kuliko hayo ya nida. Na nina uhakika 50% ya...
1 Reactions
6 Replies
93 Views
Si bora mtu awe na hisia za pesa na utajiri kuliko hisia za kimapenz.mapenzi n upumbavu mkubwa wa umaskini. bora kuwa mseja kuliko kuwa...
1 Reactions
8 Replies
71 Views
Hakuna wakumpinga mwamba huyu ana maunyama mwingi.hakuna mwamba mwingine hapa JF kama yeye truly is the king.
5 Reactions
9 Replies
129 Views
Haya hapa ni maana ya emoji zilizopo kwenye picha sc.jpeg, zikiwa zimepangwa mstari kwa mstari kuanzia kushoto kwenda kulia: Mstari wa Kwanza (Juu) 👍 Kidole gumba juu (Thumbs Up): Inamaanisha...
6 Reactions
29 Replies
292 Views
Watu wengi wanasumbuka kupata majina ya kuwapa watoto wao kutokana na kila jina analofikilia anakuta mtoto wa jilani analo sasa hapa tutaweka majina mazuri" ya watoto Iwe ya kiislam au ya kikriso...
6 Reactions
69 Replies
807 Views
Habari wakuu Katika pita pita zangu YouTube kuna kitu cha ajabu kinatokea mwenye ufahamu aweke hapa. Ukisearch video yenye urefu wa kuanzia masaa mawili kwenye PC au kwa kuwasha Desktop site...
1 Reactions
3 Replies
108 Views
Seran ujue nakuzimia mke !
11 Reactions
300 Replies
3K Views
Haina haja ya kuishi na mabifu na dharau maisha yenyewe mafup.Leo upo ya kesho hayajulikani. Tuombane msamaha kwa wote waliopitan na hata kutukanana hapa jukwaani.
5 Reactions
12 Replies
128 Views
Mwanaume mmoja alikuwa na haraka akaamua kuingia choo cha wanawake.... Baada ya kujisadia akaona VITUFE vinne vilivyoandikwa MU, HM, PD na TP... Kwakuwa hakujua kazi zake akaamua kubonyeza MU...
8 Reactions
30 Replies
479 Views
Back
Top Bottom