Hiv hisia za mapenz zinasaidia nin?

Hiv hisia za mapenz zinasaidia nin?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,913
Reaction score
3,737
Si bora mtu awe na hisia za pesa na utajiri kuliko hisia za kimapenz.mapenzi n upumbavu mkubwa wa umaskini. bora kuwa mseja kuliko kuwa mtumwa wa hisia za kimaskini.kutaman mwanamke n upumbavu mkubwa tamani utajir na nguvu.
 
Unakataa ndoa unaweka wanaume dp lahaula lakwata
 
Mtu ambaye hana time ya kujihusisha na mapenzi kwa namna yoyote ile huwa hapati hata muda wa kuyaongelea.

Ana focus na maisha yake tu.
 
Back
Top Bottom