Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,909
Reaction score
3,726
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.

Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.

Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
 
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia.nmesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa. na tena mm tuh ndoh mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike. maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria n mbn gan ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Pole sana mkuu.

Usikubali kujiua kirahisi mkuu, wewe ni mtu wa thamani sana.

Hayo yote yanayokupa msongo wa mawazo achana nayo ikiwemo wazazi wapuuzie kwa muda.

Maisha utayapatia taratibu, anza na chochote
 
Ndugu yangu, usifanye uamuzi wa kudumu kwa tatizo la muda. Chochote unachopitia sasa kinaweza kupata suluhisho. Tafadhali ongea na mtu unayemwamini, mwanafamilia, rafiki au mshauri. Huko peke yako, na kuna watu wanaojali na wako tayari kukusaidia. Tuambie kinachokusumbua ili tupate njia ya kukusaidia."
 
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia.nmesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa. na tena mm tuh ndoh mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike. maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria n mbn gan ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Acha wenge, mambo yatakaa sawa
 
Tuko pamoja mkuu hata mimi kifo nakitamani
 
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia.nmesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa. na tena mm tuh ndoh mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike. maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria n mbn gan ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Kama role model wangu ndo unataka kujiua mimi je
 
Kama unaweza kupumua saiz na hauumwi.
Emb tulia kama sekunde mbili na utambue ww bado ni wa thamani.

Usi tafute kitu kingine cha kukupa furaha saiz,

Wewe kuwa Hai na kuweza kuweka bandiko hili ni zawadi toosha. Hayo mengine yaache.

Fikra za kishindwa usizingatie kwa muda wa sasa, Fanya kesho, usiku wa leo uwe wa kushukuru zawadi ya uhai.

Ukifa Haisaidii kitu, utawaachia Maumivu wazazi na nduguzo wanaokuona kama mwenye future nzuri ya baadae
 
Back
Top Bottom