Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,909
- 3,726
Haina haja ya kuishi na mabifu na dharau maisha yenyewe mafup.Leo upo ya kesho hayajulikani.
Tuombane msamaha kwa wote waliopitan na hata kutukanana hapa jukwaani.
Tuombane msamaha kwa wote waliopitan na hata kutukanana hapa jukwaani.