Sawa karibu.Baada ya kupotea JF kwa miaka 7 hatimaye nimerudi.
Deadbody is Back
Umehama Ukonga madafu?Baada ya kupotea JF kwa miaka 7 hatimaye nimerudi.
Deadbody is Back
Afya ya akili
Sawa ..Hapana mkuu sikuwepo toka 2019
Sawasawa.Kwa hiyo tunakula kwanza au tunatangulia mazikoni?Baada ya kupotea JF kwa miaka 7 hatimaye nimerudi.
Deadbody is Back
Bwashee tule na kulewa kwanza , ili tuushushe mwili wa marehem kwa vibe la aina yakeSawasawa.Kwa hiyo tunakula kwanza au tunatangulia mazikoni?
Heshimu ma legend panya weweWho are you?
Una impact gani?
Hatutaanza kupigana makonde makaburini kweli mkuu?Bwashee tule na kulewa kwanza , ili tuushushe mwili wa marehem kwa vibe la aina yake
Hapana bwashee, pombe inanyweka na wenye hekima na wafalme🤣Hatutaanza kupigana makonde makaburini kweli mkuu?
Naam,ni nzuri kwa afya ya tumbo pia.Hapana bwashee, pombe inanyweka na wenye hekima na wafalme🤣
Na akili yako , hakuna mnywa bia falaNa,ni nzuri kwa afya ya tumbo pia.