Wacheshi thread

Wacheshi thread

Chizi Msomi

Member
Joined
Jun 23, 2026
Posts
58
Reaction score
130
Huu uzi ni maaluma kwa ajili ya kuchati bila matusi mana kuna wanaopenda matusi sasa hapa hata unapenda matusi ukija kwenye huu uzi badilika hapa ni kuchati mana napenda kuchati balaa na watu nisiowajua sasa hapa unaweza kumuuomba memba yeyote yule urafiki na mkawa marafiki humu JFl
NAWAKARIBISHA member wote wa JF
Seran
Mshana Jr
uran
Ramtz Jr
Smart911
Mahondaw
Vishu Mtata
RO7 ZA MGOS
Tate Mkuu
Zumbe Mkuu
@na wengine wotee!
KARIBUNI
 
Screenshot_20260626_173835.jpg

Umejiunga juzi , umewajuaje hao woote ila adriz una stress sana dogo😁😁😁
 
Huu uzi ni maaluma kwa ajili ya kuchati bila matusi mana kuna wanaopenda matusi sasa hapa hata unapenda matusi ukija kwenye huu uzi badilika hapa ni kuchati mana napenda kuchati balaa na watu nisiowajua sasa hapa unaweza kumuuomba memba yeyote yule urafiki na mkawa marafiki humu JFl
NAWAKARIBISHA member wote wa JF
Seran
Mshana Jr
uran
Ramtz Jr
Smart911
Mahondaw
Vishu Mtata
RO7 ZA MGOS
Tate Mkuu
Zumbe Mkuu
@na wengine wotee!
KARIBUNI
Umetag id zako kwa pamoja.
 
Wengine tunajisikia vibaya msipotumention
 
Duuuh gari limewaka
Kikundi cha Machoko Jf lazima kipigwe vita , hizo IDs pamoja na Chizi Maarifa kazi Kujadili watu jukwaani , unakuta jitu zima linaanzisha Uzi wa Kujadili watu na wanaTag wenyewe wanajazana kama walevi wa Visungura kwenye Uzi mmoja kushambulia mtu.

Hiko kikundi cha Machoko akianzisha mmoja Uzi lazima wafuatate kwenye comments wewe jaribu kufuatilia na mawazo yao wote sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom