Mshana JR is the king

Mshana JR is the king

Kamfungulia uzi wa kumsifia mwanaume mwenzio tena mwenye mke kunatia mashaka

Aidha unataka kumpindua mke wake au unataka kua mchepuko wake

NB: Naunga mkono hoja ya mleta mada
Usiwe hivyo mkuu, kumsifia mtu Kwa jambo analofanya mbona ni kawaida?

Kuna muda unaiona jamiiforum kabisa inapoteza dira,lakini mshana huwa anachangamsha jukwaa na mada zake tofauti tofauti,na nyingi zina tija.

Kosa lake kubwa ni kuichukia CCM waziwazi (jokes)😂
 
Lakn nmeunga mkono mada
 
Back
Top Bottom