Hamis77 unatukosea ndugu zako kwa ukimya huu.

Hamis77 unatukosea ndugu zako kwa ukimya huu.

Baada ya mkataba wa US-Iran ameumia sana imebidi akimbie kwanza. Wayahudi wote weusi wamepotea kwa muda maana hawaamini wanachokionq
Wavaa kobazi weusi wanafikiri wameshinda vita, nyukilia zote zimebomolea na viongozi wa Iran wakubwa wameuliwa, waliobakia, yupo mtoa roho Israel atawamalizia 😝😝😝
Marekani anapigana vita vya akili maana akipiga mtamchukia dunia nzima kwahiyo amewawekea matoys ili mpige huku yeye anaanda kombe la dunia. Israel na Marekani ni ndugu. Usifikiri ndiyo hayupo Marekani
Israel yupo kwasasa Lebanoni na Gaza, msikiti wa Al Aqsa unabomolewa linajengwa hekalu la myahudi Suleman.
Iran au Jordan ajichanganye tena kuisaidia Lebanon au Gaza.
Ndiyo utajua Marekani alisaini vipi mkataba😄😄😄
 
Hamisi77 anajua kuwanyoosha waislamu.
Huyu jamaa ni moto, ni mejua mambo mengi yaliyofichwa kwenye uislamu.

hamis77
Uje na mada hii ndugu
1. Kwanini waislamu huwa wanakataza wanawake kwenda mazikoni?
2. Ni kweli maiti huwa anakamuliwa mavi kabla ya kwenda kuzikwa?
3. Kwanini waislamu huweka shuka juu ya kaburi, baada ya hapo sheikh anatoka na anaanza kuosha kisu kwa maji?
4. Nasikia waislamu huchukua maji ya maiti, wanachanganya kwenye chakula na sehemu ya utumbo wanachanganya kwenye nyama msibani?
Naomba hii mada uanze nayo
 
Back
Top Bottom